Exodus 14:6-7

6Kwa hiyo akaandaliwa gari lake la vita, naye akaenda pamoja na jeshi lake. 7 aAkachukua magari bora mia sita, pamoja na magari mengine yote ya Misri, pamoja na maafisa wa magari hayo yote.
Copyright information for SwhKC